mapitio ya mwaka 2014
Huwezi kusikiliza tena

Vipindi vya mwaka 2014

Haki miliki ya picha bbc
Image caption Marygorethi Richart akifuatilia hoja

Haba na Haba wiki hii inaangalia baadhi ya vipindi vyake vya mwaka 2014. Tunaangalia uzito wa baadhi ya mada zilizojadiliwa na baadhi ya mabadiliko yaliyoletwa kutokana na mada hizo kujadiliwa kwenye Haba na Haba