Huwezi kusikiliza tena

Kifaranga chaingizwa ndani ya maiti TZ

Mila na desturi ni mambo yanayohitaji kuenziwa na jamii ili kurithisha masuala mbalimbali ya maadili na hivyo kuiletea faraja na maendeleo jamii husika.

Hata hivyo nchini Tanzania tukio la aina yake linalohusishwa na mila na desturi hizo limesababisha taharuki kwa baadhi ya wakazi wa mkoa wa Shinyanga Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo baada ya mwili wa mtu mmoja kulazimika kupasuliwa na kuwekwa kifaranga cha kuku kabla ya kuzikwa kama hatua ya kuondoa mikosi kwa familia ya marehemu.

Regina Mziwanda ameandaa taarifa ifuatayo