Huwezi kusikiliza tena

TZ: TAZARA yakumbwa na mgomo

Nchini Tanzania Wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia TAZARA wameanza mgomo wa siku saba wakishinikiza Serikali kuwalipa malimbikizo ya mishahara ya miezi mitano hadi sasa,huku wakisitisha huduma zote za usafiri wa treni zinazomilikiwa na mamlaka hiyo.

Kutoka Dar es Salaam,Erick David Nampesya ametutumia taarifa ifuatayo.