Huwezi kusikiliza tena

Uchambuzi wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2015

Charles Hilary anajadiliana na wachambuzi wa kandanda wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC Israel Saria na Hamisi Kizigo juu ya matazamio ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika huko Equatorial Guinea.