Huwezi kusikiliza tena

Muasi wa Mayi mayi ajisalimisha DRC

Kanali mmoja wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyeaasi Jeshi la Kongo na kujiunga waasi wa mai mai YAKUTUMBA,alijisalimisha hapo jana kwanye jeshi la taifa serikali katika kijiji cha mkera jimbo la kivu kusini,

Pamoja naye waasi wengine nao waliisalimisha na kujiunga na jeshi la DRC.

Mwandishi wetu wa Mashariki mwa Kongo Byobe Malenga ametutumia taarifa ifuatatyo.