Huwezi kusikiliza tena

Uhuru wa mtandao kudhibitiwa

Rais Barack Obama ametoa wito wa kuwekwa sheria kali za kudhibti matumizi ya mitandao huku waziri mkuu wa Uingereza David Cameroon, akitoa ombi kwa mitandao kama ile ya Facebook na Twitter pamoja na kampuni za usalama kuisaidia Uingereza kuingia katika mitandao ya washukiwa wa ugaidi.