Huwezi kusikiliza tena

Abiria wanavyokwepa foleni TZ

Foleni ya magari katika miji mingi barani Afrika ni jambo la kawaida, na linalolalamikiwa kila mara.

Kumekuwa na jitihada mbalimbali kujaribu kukabiliana na hali hiyo.

Abiria pia wanatafuta njia zao kujaribu kuepuka foleni.

Salim Kikeke ametembelea Dar es Salaam, na kushuhudia tatizo hilo, na suluhu inayotafutwa