Huwezi kusikiliza tena

Bongo flava muziki wa Tanzania unavyokua

Aina mpya ya muziki unaojulikana nchini Tanzania kama BONGO FLAVA umejipatia umaarufu barani Afrika.

Muziki huo ulioanza miaka tisini kama aina mpya ya hip pop na R & B ya kitanzania mwanzoni hakupewa uzito na wasanii wa muziki nchini humo. Lakini sasa mambo yamebadilika.

Mwandishi wetu Salim Kikeke na maelezo zaidi