Huwezi kusikiliza tena

Google yapanua mabawa anga za juu

Google imetupa macho yake katika anga za juu.

Wiki hii ilichangisha dola bilioni 1 kufadhili teknolojia za kutumia kutafiti anga za juu, na sasa inamiliki asilimia 10 ya kampuni ya kutengeza teknolojia hizo 'spacecraft manufacturer'.

Kwa taarifa hii na nyingiezo aa teknolojia tazama makala haya