Huwezi kusikiliza tena

Ajuza mwenye ari ya masomo Kenya

Ajuza mwenye umri wa miaka tisini ,sasa amevunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na marehemu Kimani Maruge ya kuwa mkongwe zaidi duniani kusoma shule ya msingi nchini Kenya .

Robert Kiptoo alizuru shule hiyo na kuzungumza ajuza huyo pamoja na mwalimu wake wa taaluma: