jakaya kikwete
Huwezi kusikiliza tena

Baraza la mawaziri lazua hisia Tanzania

Siku mbili baada ya rais wa Tanzania Jakaya Kikwete kufanya mabadiliko kwenye baraza la mawaziri,kumekuwepo hisia tofauti kufuatia mabadiliko hayo ambapo hii ni mara ya saba kwa Rais huyo kupangua baraza la mawaziri katika kipindi cha miaka kumi aliyokaa madarakani.Kutoka Dar es Salaam,mwandishi wetu Tulanana Bohela ametuandalia taarifa ifuatayo.