waasi burundi
Huwezi kusikiliza tena

Waasi waliojisalimisha wauawa Burundi

Mashahidi kadhaa wameiambia BBC kuwa wanajeshi wa Burundi wamewaua waasi waliojisalimisha kwa Jeshi la nchi hiyo.Tukio hili limetokea baada ya takriban waasi 200 kuvuka mpaka kutoka Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo na kuingia nchini Burundi.Jeshi la Burundi limekanusha madai ya mauaji yaliyotolewa dhidi yao.Ismail Misigaro na taarifa zaidi