Rais Kikwete akikagua viatu katika kijiji cha vijana
Huwezi kusikiliza tena

Vijana wa Tanzania na ajira

Image caption Rais Kikwete akikagua viatu katika kijiji cha Vijana

Wakati vijana wengi duniani, hakihangaika kutafuta ajira kwa muda mrefu, na pengine bila ya mafanikio, nchini Tanzania, miradi mbalimbali imekuwa ikibuniwa kukabiliana na hilo, ikiwemo kuanzishwa kwa kijiji cha mfano cha vijana kilichopo mkoani Tabora. Halima Nyanza ametembelea kijiji hicho chenye vijana Zaidi ya 50, lengo likiwa kupata mji wa kisasa wenye shughuli zote za kiuchumi.