Huwezi kusikiliza tena

Nigeria,nchi yenye Uchumi mkubwa Afrika

Image caption pamoja na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa, Nigeria ina changamoto lukuki

Nigeria inaelekea kwenye uchaguzi,swala kubwa linalotupiwa macho ni suala la maenedeleo ya Uchumi,Je uchumi wa Nigeria utaimarika?