usawa wa mitandao
Huwezi kusikiliza tena

Usawa wa matumizi ya mtandao kuangaziwa

Katika ushindi wa usawa wa matumizi ya mitandao ,mwenyekiti wa shirika linalopigania haki ya mawasiliano nchini Marekani FCC amesema kuwa anapendekeza mikakati madhubuti ya ulinzi ili kuhakikisha kuwa sera ya usawa wa matumizi ya mitandao inaangaziwa.Sera hiyo inasisitiza kuwa paketi zote za data ,ziwe zile za email,ukurasa wa mtandao,ama kanda za video zinangaziwa kwa usawa.Hii inamaanisha kwamba watoaji huduma wa mtandao hawataweza kuwataweza kuwapendelea wale ambao wako tayari kulipa.