ukeketaji drc
Huwezi kusikiliza tena

Mila ya ukeketaji mashariki mwa DR Congo

Leo ni siku ya kimataifa ya kampeni dhidi ya ukeketaji wa wanawake. Kwa mujibu wa umoja wa mataifa zaidi ya wanawake na wasichana milioni mia moja thelathini katika mataifa ishirini na tisa mashariki ya kati na barani Afrika wamekeketwa-hali ambayo imesababisha athari kubwa kwa maisha yao. Mwandishi wetu Byobe Malenga anaangazia mila ya ukeketaji wa wanawake mashariki mwa Congo