Huwezi kusikiliza tena

Tathmini ya Kombe la Mataifa ya Afrika

Mabingwa wapya wa Afrika ni Ivory Coast, baada ya kuwashinda Ghana kupitia mikwaju ya Penalti 10-9 siku ya Jumapili.

Tazama Peter Musembi akizungumza na wachambuzi Israel Saria na Hamisi Kizigo kutathimini namna mambo yalivyokwenda kwenye michuano hiyo nchini Equatorial Guinea.