Huwezi kusikiliza tena

Vibonzo vyarahisisha hisabati kwa watoto

Hisibati na Sayansi bila shaka sio masomo yanayopendwa sana na watoto wadogo, lakini nchini Tanzania mtazamo huo unabadilika.

Ubongo kids ni vibonzo vya elimu burudani,ya kwanza kwa Tanzania, inayofundisha watoto hisabati na sayansi kwa njia ya wanyama wanaoimba.

Kipindi kinatazamwa na zaidi ya watoto milioni moja ndani ya mwaka mmoja, kimekuwa ikipendwa sana Afrika mashariki ikiwashirkisha wanafunzi kwa njia ya ujumbe wa simu ya mkononi.

Mwandishi wetu Tulanana Bohela anasimulia.