Athari za wahamiaji wanaoingia katika kisiwa cha Lampedusa Italy
Huwezi kusikiliza tena

Athari za wahamiaji kisiwani lampedusa

Mzozo wa Libya umesababisha watu zaidi kufanya safari hatari kwa mashua kujaribu kuingia Ulaya. Mamia ya wahamiaji kutoka Libya wameendelea kuwasili nchini Italia. Wakazi wa kisiwa kidogo cha Lampedusa wanasema wapo katika hali ya tahadhari. Zaidi ya wahamiaji elfu mbili waliokolewa siku ya Jumapili katika boti kwenye bahari ya Hindi. Lakini je, nini athari ya wahamiaji katika kisiwa hiki? mwandishi wetu Kassim Kayira anatuarifu zaidi kutoka Lampedusa