kampuni ya Smartwatch Peeble kuzindua saa mpya
Huwezi kusikiliza tena

Kampuni ya Smartwatch kuzindua saa mpya

Kampuni ya saa za Smartwatch,Peeble imechangisha zaidi ya dola millioni 10 kwa ajili ya programu yake mpya ya wakati katika mtandao unaofadhiliwa na makundi ya watu Kickstarter.Mradi huo wa kampuni ya Peebles ni miongoni mwa miradi inayoungwa mkono na wengi.Saa hiyo mpya itavaliwa na wawekezaji mwishoni mwa mwezi mei kabla ya kuuzwa kwa uma baadaye mwaka huu.