Volkeno yalipuka Chile

Haki miliki ya picha EPA
Image caption Mlima Villarrica ulianza kulipuka na kurusha makaa ya moto na jivu umbali wa kilomita moja kusini mwa nchi hiyo.Zaidi ya watu 3000 wamelazimika kuhamishwa makwao.
Haki miliki ya picha AFP
Image caption Mlima Villarrica ulianza kulipuka na kurusha makaa ya moto na jivu umbali wa kilomita moja kusini mwa nchi hiyo.Zaidi ya watu 3000 wamelazimika kuhamishwa makwao.
Haki miliki ya picha epa
Image caption Mlima huo unaurefu wa mita 2840
Haki miliki ya picha EPA
Image caption Zaidi ya watu 3000 wamelazimika kuhama makwao
Haki miliki ya picha Nessa Contreras
Image caption Mlima huo umekuwa ukitoa makaa ya moto na jivu