Visa kuanzisha malipo katika mitandao ya kijamii kama vile Twitter na Whats-App
Huwezi kusikiliza tena

Visa kuanzisha malipo ya mitandaoni

Kampuni inayotoa kadi za Visa itaanza kutoa huduma za malipo katika mitandao ya kijamii kama vile Twitter na WhatsApp.

Wanachama wa moja kwa moja wa huduma hiyo wataweza kutuma fedha kwa kutumia huduma ya 'fastcash' kwa kubofya nambbari zao za simu ama majina yao wanayotumia katika mitandao hiyo.

lakini huduma hiyo itaanza kufanya kazi miongoni mwa wale wanaoishi Ulaya.