Fatma Karume,aliyekuwa mke wa Rais wa kwanza Zanzibar na mama wa Rais Karume
Huwezi kusikiliza tena

Wanawake wenye bahati

Ni nadra kuona mwanamke akiwa mke na mama wa rais kama ilivyokuwa kwa Ngina Kenyata wa Kenya, na Barbara Bush wa Marekani.

Zanzibar nayo ina historia ya aina hiyo.

Mama Fatma Karume ni mmoja wa wanawake waliojaliwa kuwa mke na mama wa rais katika familia ya Karume, Halima Nyanza amezungumza naye na kutuandalia makala ifuatayo kutoka Zanzibar.