Mafuriko yawaua watu 38 Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Mafuriko yawaua watu 38 Tanzania

Misaada sasa imeanza kugawiwa kwa watu walioathirwa na mafuriko na kuachwa bila makazi kutokana na mafuriko huko kaskazini magharibi mwa Tanzania.

Zaidi ya watu arobaini walipoteza maisha na wengine themanini kujeruhiwa wakati upepo mkali, mawe na mvua kubwa kuukumba mkoa wa Shinyanga na kuharibu mazao na makazi ya watu.

Mwandishi wetu, Tulanana Bohela ametembelea kituo cha msaada kata ya Isaka na kututumia ripoti ifuatayo.