Mchezo wa Ngumi za Mateke (Kick Boxing) bado umeendelea kupigwa marufuku katika visiwa vya Zanzibar.
Huwezi kusikiliza tena

Mchezo wa ngumi bado marufuku Zanzibar

Mchezo wa Ngumi za Mateke (Kick Boxing) bado umeendelea kupigwa marufuku katika visiwa vya Zanzibar.

Suala la kukatazwa ngumi za mateke lilipingwa marufuku na Rais wa kwanza wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar Abeid Aman Karume.

Sikiliza makala ya Halima Nyanza kuhusiana na hilo.