Wanahabari nchini Eritrea
Huwezi kusikiliza tena

Hali ya uandishi wa habari Eritrea

Taifa la Eritrea ni mojawapo ya mataifa yanayoendesha mambo yake kwa usiri mkubwa na pia lina historia ya Serikali kuendesha shughuli zake kwa ukatili mkubwa dhidi ya wapinzani wake.

Miongoni mwa mambo ambayo Eritrea inalaumiwa ni ikiukwaji wa uhuru wa waandishi wa habari. Katika mojawapo ya mfululizo wa makala kutoka nchini Eritrea, mwandishi wa BBC Sam Piranty anatathmini hali ya uandishi wa habari nchini humo.