Kiongozi wa upinzani Agathon Rwasa  amezilaumu idara za usalama nchini humo kwa kuhusika na jaribio la kutaka kumuuwa mkewe.
Huwezi kusikiliza tena

Rwasa alaumu serikali kwa kutaka kumuua mkewe

Nchini Burundi Agathon Rwasa ambaye ni mwanasiasa mashuhuri nchini humo ,aliekua mkuu wa zamani wa chama kikuu cha upinzani FNL amezilaumu idara za

usalama nchini humo kwa kuhusika na jaribio la kutaka kumuuwa mkewe.

Bibi Rwasa alifyatuliwa risasi jana jioni alipokuwa salon akitengewa nywele.

Tukio hilo limetokea wakati upinzani nchini humo umekuwa ukitaja orodha ya majina ya baadhi ya wanasiasa na wanaharakati wanaohofia kuwa

watauwawa kabla ya uchaguzi mkuu wa baadaye mwezi juni mwaka huu.

Kutoka Bujumbura Kazungu Lozy ametutumia ripoti ifuatayo