Madhara ya Nyaope kwa vijana Afrika Kusin
Huwezi kusikiliza tena

Madhara ya Nyaope kwa vijana Afrika Kusini

Dawa za kulevya zenye uraibu mkubwa zinaendelea kuikumba AfriKa Kusini hasa kwenye mitaa inayokaliwa na watu maskini.

Nyaope- kama inavyojulikana- ni mchanganyiko wa vitu kadha vikiwemo heroini,bangi na hata dawa za kufulia nguo.

Kila kionjo kinaongeza nguvu fulani kwenye dawa hizi za kulevya.

BBC imetembelea mkoa wa Mpumalanga kuona athari za dawa hizi. Kassim Kayira anaeleza zaidi