Kwa jumla Nigeria hukosa umeme kwa jumla ya siku 46  kwa mwaka
Huwezi kusikiliza tena

Nigeria: Uchumi unategemea kuwepo kwa kawi

Licha ya kuwa na uchumi mkubwa zaidi barani Afrika ,Nigeria inakabiliwa na changamoto kubwa ya umeme na kawi .

Kwa jumla Nigeria hukosa umeme kwa jumla ya siku 46 kwa mwaka kulingana na takwimu za mwaka wa 2007-2008 za benki ya dunia.

Je hali hiyo imeimarika ?

Huku taifa hilo likijiandaa kwa uchaguzi mkuu unaoratibiwa kufanyika tarehe 28 Mach, Shirika la BBC Africa limewaandalia takwimu hizi .