Joto la Uchaguzi limeikumba Nigeria siku chache kabla ya upigaji kura.
Huwezi kusikiliza tena

Joto la Uchaguzi Nigeria

Joto la Uchaguzi limeikumba Nigeria siku chache kabla ya upigaji kura.

Rais Goodluck Jonathan anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa mgombea mwenza Muhammadu Buhari, katika kinachotarajiwa kuwa ushindani mkali.

Na leo Rais wa Marekani, Barack Obama amewataka raia wote wa Nigeria wapinge ghasia na kutaja kura kama fursa ya kihistoria kwa maendeleo ya nchi yao.

Masuala yatakayomkabili kiongozi atakayechaguliwa ni usalama, tishio la Boko Haramu pamoja na ufisadi.

Salim Kikeke yuko huko.