BBC inaendelea kukujuza takwimu muhimu kabla ya uchaguzi mkuu ulioratibiwa kufanyika tarehe 28 Machi.
Huwezi kusikiliza tena

Hali ya usalama nchini Nigeria

Nigeria inakabiliwa na utovu wa usalama.

Takriban watu elfu 13 (13,000) wameuawa tangu wapiganaji wa kiislamu wa Boko Haram kutangaza vita dhidi ya serikali mwaka wa 2009.

BBC inaendelea kukujuza takwimu muhimu kabla ya uchaguzi mkuu ulioratibiwa kufanyika tarehe 28 Machi.