Vyumba vya upasuaji vya Kuhamahama Uganda
Huwezi kusikiliza tena

Vyumba vya upasuaji vya Kuhamahama Uganda

Image caption Vyumba vya upasuaji vya Kuhamahama Uganda

Katika mfululizo wa makala zetu wiki hii kuonyesha wavumbuzi wa afya wa Kiafrika, BBC imeshirikiana na watangazaji wa kituo cha televisheni cha Uganda,

Urban TV, kutazama juhudi za nchi hiyo kupambana na ugonjwa wa ukimwi.

Hata hivyo tatizo lipo kwa upande vijijini, ambapo wa Wanaume na wavulana hawapati huduma hiyo ya tohara kutokana ugumu na gharama.

Kufuatia tatizo hilo hivi sasa nchini humo kumeanzishwa mradi unatumia kliniki inayotembea kwa lengo kufikisha huduma hiyo ya tohara maeneo ya vijijini.

Kutoka Kampala, Ali Mutasa anasimulia.