Ushindi wa Buhari unaadhimisha wakati muhimu katika historia ya Nigeria iliojawa na misukosuko.
Huwezi kusikiliza tena

Ushindi wa Buhari ni wa kihistoria Nigeria

Ushindi wa Buhari unaadhimisha wakati muhimu katika historia ya Nigeria iliojawa na misukosuko.

Hakuna rais aliyewahi kushindwa katika uchaguzi nchini Nigeria.Rais Goodluck Jonathan amepongezwa kwa kukubali kushindwa.

Tangu uhuru mnamo mwaka 1960,kumekuwa na mapinduzi pamoja na matokeo ya udanganyifu kila kunapofanyika uchaguzi.

Lakini licha ya madai ya udanganyifu ,waangalizi wameupongeza uchaguzi huu.

Na hisia zinazotokana na matokeo zimekuwa za amani.

Haya yanajiri licha ya mfumo mpya wa kielektroniki unaotumika barani Afrika.