Simanzi yatanda katika chumba cha kuhifadhia maiti Nairobi Kenya
Huwezi kusikiliza tena

Mauaji Garissa:Simanzi yatanda Nairobi

Mjini Nairobi, biwi la simanzi lilitanda pale jamaa na marafiki wa wanafunzi waliouawa walipofika katika chumba cha kuhifadhia maiti kuwatambua wapendwa wao. David Wafula alikua chumba cha Maiti cha City na Hii Hapa taarifa yake.