Huwezi kusikiliza tena

Wanaume wa Tanzania na uzazi salama

Wanaume nchini Tanzania wamekuwa wazito kutumia baadhi njia za uzazi wa mpango, hasa ile ya kudumu kwa kufunga uzazi.

Licha ya uzazi wa mpango kuwa moja ya nguzo 5 za uzazi salama. Hofu ikiwa ni kupoteza uwezo wa tendo la ndoa au urijali.

Idadi ya watu nchini humo waliofikiwa na huduma ya uzazi wa mpango inatajwa kuwa ni 27% tu huku malengo ya Wizara ya Afya na Ushawi wa jamii ni kufikia 60% ifikapo mwishoni mwa mwaka huu.

Sikiliza ripoti zaidi na Faraja Sendegeya.