Mchezo wa bahati na sibu katika kandanda
Huwezi kusikiliza tena

Mchezo wa bahati na sibu katika kandanda

Mchezo wa kubashiri almaarufu kama 'Betting' umechukua sehemu kubwa ya michezo kwa sasa kuanzia kandanda mbio za farasi na hata ndondi.

Mashabiki wa kandanda wanaonekana kuutumia zaidi mfumo huu pamoja na kusalia na mapenzi ya dhati kwa timu zao lakini

wakati wa mechi hulazimika kuzishabikia timu ambazo wamebashiri zitashinda hata kama ni timu pinzani ili waweze kupata kipato cha fedha.

Mwandishi wa BBC Arnold Kayanda alizungumza na mashabiki wa soka nchini Tanzania juu ya mchezo huo wa kubashiri.