Utafiti:Ulanguzi wa watu upo Uingereza (3)
Huwezi kusikiliza tena

Utafiti:Ulanguzi wa watu upo Uingereza (3)

Takriban wanawake 800 wanaohudumu katika biashara ya ngono nchini Uingereza wametambulika kama watu walioingizwa nchini humo kinyume cha mapenzi yao.

Takwimu hii ni kwa mujibu wa tume ya kupambana na utovu wa usalama inayoshirikiana na manusura wa janga hili.

Mfano ni Ope, mwanamke mwenye umri wa miaka 24, ambaye alikutana na mwanamume ambaye alimahidi kumtafutia kazi nje ya Nigeria.