Google ina wiki kumi kujibu malalamishi kwamba inajipendelea mno katika soko lake
Huwezi kusikiliza tena

Google yapewa wiki 10 kujibu malalamishi

Habari kuu ya teknolojia wiki hii ni le ya muungano wa ulaya uliolalamika kwamba Kampuni ya Google ilikuwa ikijipendelea zaidi katika soko lake.Google sasa ina wiki kumi kujibu malalamishi hayo licha ya kusema kuwa haikubaliani na madai hayo na kwamba iikuwa ikijiandaa kujitetea.