Huwezi kusikiliza tena

Watoto na muziki wa Jazz, Kenya

Watoto katika kitongoji kimoja Nairobi Kenya, wamekuwa wakifunzwa na kucheza muziki wa Jazz kama njia ya kuepukana na maovu.

Jazz ni aina ya muziki ambao ulitungwa na wamerikani weusi nyakati za utumwa katika karne ya 20. Kwa kizazi cha sasa ni muziki unaohusishwa na matajiri.

Lakini hali ni tofauti, watoto hao wanafunzwa na kucheza muziki huu kama njia moja ya kuepukana na maovu na shida zinazowakabili.

David Wafula ametuandalia ripoti ifuatayo.