Huwezi kusikiliza tena

Shambulio la Garissa, lilijulikana

Taarifa juu ya shambulio la kigaidi katika Chuo kikuu cha Garissa zilijulikana kabla ya tukio kutokea.

Mkuu wa chuo hicho Professor Osman Warfa aliambia BBC kwamba vyombo vya usalama vilifahamu kuhusu shambulio hilo.

Sikiliza mahojiano ya Wanyama wa Chebusiri na Profesa Osman akimuuliza kwanza juu ya hali ya wanafunzi waliojeruhiwa.