Huwezi kusikiliza tena

Uganda na kamusi mpya

kamusi yenye kuendana na msamiati mpya wenye mchanganyiko wa maneno ya Kiingereza na lugha mama za Uganda imezinduliwa nchini humo.

Msamiati huo unajulikana kama Uglish.

Sikiliza mahojiano kati ya Siraj Kalyango na mtunzi wa kamusi hiyo.