Huwezi kusikiliza tena

Mwanake mnene naye ni mlimbwende

Kwa miaka mingi imekuwa kawaida kwa warembo wembamba kutumika katika maonyesho ya mitindo. Hatua ambayo kwa mara nyengine imehimiza wanamitindo kujikondesha kwa kiwango na kasi ya hatari. Ni hivi maajuzi tu Ufaransa imeidhinisha sheria inayopiga marufuku wanamitindo wananoonekana wembamba kupita kiasi. Lakini kwa mtazamo tofauti, mashirika ya kusajili wanamitindo Kenya sasa yanalilenga kundi jipya linaloonekana kukwea jukwaa hilo la uanamitindo duniani. Maryam Dodo Abdalla anaarifu zaidi kutoka Nairobi.