Ndege zisizokuwa na rubani zatumiwa kupeleka msaada Nepal
Huwezi kusikiliza tena

Ndege zisizo na rubani zatumika Nepal

Ndege zisizokuwa na rubani zinatumiwa kupeleka msaada Nepal kufuatia tetemeko baya lililokumba taifa hilo.Kundi la wahisani Global Medic linatumia ndege hizo ili kusaidia kupiga picha na kuchukua ramani ya maeneo yalioathirika kabla ya kutoa ujumbe huo kwa maafisa wa msaada pamoja na makundi ya waokoaji katika eneo hilo.