Vijana wakiwa katika moja ya mitaa ya Ghana.
Huwezi kusikiliza tena

Utapeli mtandaoni washamiri Ghana

vijanawenye Umri wa chini ya miaka thelathini. Wanaendesha magari ya kifahari na mavazi ya bei kali. Ni kikundi maalum cha Vijana kutoka nchini Ghana wanaowatapeli maelfu ya fedha watu kwenye mtandao. Ni biashara ambayo imejizolea umaarufu mkubwa hasa kwa vijana wasio na kazi.

Vijana hawa wanajulikana kama sakawa. BBC imepata fursa ya kuwaona wanavyo watapeli watu kwa mtandao. Akiwa Accra Ken Mungai anaarifu.