Shirika linalosimamia anga za juu limesema kuwa litashirikiana na kampuni nyengine tatu ili kulisaidia katika kupanua utumizi wa ndege hizo.
Huwezi kusikiliza tena

Utumizi wa ndege zisizo na rubani US

Wiki hii kulikuwa na habari muhimu kuhusu utumizi wa ndege zisizokuwa na rubani nchini marekani.Shirika linalosimamia anga za juu limesema kuwa litashirikiana na kampuni nyengine tatu ili kulisaidia katika kupanua utumizi wa ndege hizo.Ukaguzi uliofanywa umesema kuwa ndege hizo zitatumika katika kuangalia mimea,kukagua barabara za treni mbali na kuangazia habari.