Maandamano yapamba moto nchini Burundi kufuatia hatua ya rais Pierre Nkurunziza kuwanai muhula wa tatu wa urais
Huwezi kusikiliza tena

Maandamano yapamba moto Burundi

Mzozo wa kisiasa unazidi kutokota nchini Burundi huku maelfu ya raia wakiendelea na maadamano barabarani mjini Bujumbura kupinga hatua ya rais Pierre Nkurunziza kugombea mhula wa tatu. Takribani watu 17 wameuau katika makabiliano kati ya polisi na waandamanji tangu maandanamo hayo ya upinzani yalipoanza zaidi ya wiki mbili zilizopita. Na kufahamu zaidi hali ilivyo kwa sasa mjini Bujumbura, Mwanahabari wetu Dinah Gaahamanyi alizungumza na mwandishi mwenza aliyeko Burundi Emmanuel Igunza na kuandaa taarifa ifuatayo