magari yasio na dereva yahusika katika ajali nyingi
Huwezi kusikiliza tena

Magari yanayojiendesha yahusika na ajali

Wiki hii tumegundua kwamba magari manne kati ya 48 yanayojiendesha bila dereva katika barabara za Carlifonia yamehusika katika ajali za barabarani katika kipindi cha miezi minane iliopita.Lakini je Teknolojia ndio inayopaswa kulaumiwa?Google inasema kuwa ajali hizo zinazoshirikisha magari yao zinatokana na madereva wengi kuyagonga magari yao.