Huwezi kusikiliza tena

Somali land yatimiza miaka 24 ya uhuru

Taifa la Somaliland leo linaadhimisha miaka 24 ya kujitangazia uhuru ingawa jumuiya ya kimatifa haitambui uhalali wa uhuru huo. Na kama anavyoripoti mwandishi wa BBC Abdinoor Aden, huenda raia wa taifa hilo wakasubiri kwa muda mrefu ili kujivunia uhuru kamili.