Huduma ya muziki ya Spotify
Huwezi kusikiliza tena

Spotify kujumuisha video na sauti

Huduma ya muziki ya Spotify imetangaza kuwa hivi karibuni itashirikisha sauti na kanda za video .Huduma hiyo inatoa matangazo ya habari kutoka kwa idhaa ya kitaifa ya Marekani, BBC na nyinginezo.Spotify pia inataka kuanzisha nyimbo zitakazocheza kulingana na hisia,muda wa siku na kulingana na kasi yako.