Uchaguzi nchini Ethiopia umeingia siku yake ya pili katika baadhi ya sehemu za nchi hiyo.
Huwezi kusikiliza tena

Ethiopia: Uchaguzi waingia siku ya pili

Uchaguzi nchini Ethiopia umeingia siku yake ya pili katika baadhi ya sehemu za nchi hiyo.

Msemaji wa tume ya uchaguzi ameiambia BBC kuwa bodi hiyo ililazimika kuongeza muda katika vyuo vikuu baada ya karatasi za kupigia kura kwisha.

Lakini shuguli ya kuhesabu kura zimeanza katika sehemu nyingine za nchi hiyo, huku chama kinachoongoza cha Ethiopian People's Revolutionary Democratic Front ( EPRDF) kikitarajiwa kupata Ushindi mkubwa.